Music

Something great coming up…

Am currently working on my first project ever. Wish me luck

Jumbosound studios

#jumbosoundcares

I making a free style(old plus new vibes)

Cheki unavyo-flow babe cheki unavyo-floss ,

Unapo-take pic cheki look na ma-pose,

Nikiwa nawe…all night…siwezi doz,

Kuja uwape vidonge babe kuja uwape doze,

Unahaga noma…swag noma kaa ya(kama) Huddah Monroe,

Unavuruga soko,

Unawachuja solo,

Hupendi na madondo,

Hukosi kwenye dondoo,

Msupa(shore) mkali head to toe…